Umbuji wa Wahusika katika Ushairi wa Kiswahili: Mifano Kutoka kwa Diwani ya Jicho la Ndani (S.A. Mohamed, 2002).
dc.contributor.author | Kinoti, Timothy M. | |
dc.date.accessioned | 2019-07-02T09:13:59Z | |
dc.date.available | 2019-07-02T09:13:59Z | |
dc.date.issued | 2019-06 | |
dc.description.abstract | Suala la utunzi na uhakiki wa mashairi ya Kiswahili limejadiliwa kwa muda mrefu na washairi na wataalamu mbalimbali. Mjadala huu umejikita katika dhana na maana ya shairi la Kiswahili na iwapo lihakikiwe kwa kuzingatia kaida zilizowekwa na wanamapokeo au uhuru ulioibuliwa na wanamapinduzi. Hali hii imekinza kwa kiasi fulani uzingatiaji kikamilifu wa mbinu nyinginezo za kiubunifu za kulihakiki shairi la Kiswahili. Kati ya vipengele muhimu katika sanaa hii kongwe vilivyotelekezwa kiasi ni uteuzi wa wahusika, uchunguzi wa mazingira wanamopatikana na hisia wanazotumiwa na mshairi kuwasilisha, kama inavyosisitizwa katika Nadharia ya Ulimbwende. Kimsingi, jamii husawiriwa katika kazi za fasihi kupitia wahusika kwani ndio wawakilishi na viwakilishi vya hali halisi za wanajamii. Jinsi mshairi akatavyowateua na kuwasawiri wahusika wake katika mazingira mahsusi itaifanya hadhira kuyapenda au kuyachukia matendo, tabia na hali fulani za wanajamii waliowakilishwa na wahusika hao. Makala haya yananuiwa kubainisha dhima ya wahusika wa kishairi katika kujadili na kuhifadhi masuala ya kihistoria. | en_US |
dc.identifier.citation | East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature Volume-2, Issue-6,| Jun-2019 | en_US |
dc.identifier.issn | 2617-7250 | |
dc.identifier.uri | http://repository.embuni.ac.ke/handle/embuni/2179 | |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.subject | Ushairi wa Kiswahili | en_US |
dc.subject | usawiri wa wahusika | en_US |
dc.subject | wahusika wa kishairi | en_US |
dc.subject | historia | en_US |
dc.title | Umbuji wa Wahusika katika Ushairi wa Kiswahili: Mifano Kutoka kwa Diwani ya Jicho la Ndani (S.A. Mohamed, 2002). | en_US |
dc.type | Article | en_US |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Kinoti - Umbuji wa Wahusika katika Ushairi wa Kiswahili Mifano Kutoka kwa Diwani.pdf
- Size:
- 282.68 KB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
- Description:
- Full text
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: