Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register.Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register.Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Wanyama, John K."

Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
  • No Thumbnail Available
    Item
    Fear Mongering and Appeal to the Name of God as Propaganda Techniques in the Kenyan 2013 Presidential Debate
    (2018-11) Wanyama, John K.; Wandera, Sheila Simwa; Mayaka, James Gwachi
    Politicians use different types of language to control and direct the way the electorate perceive political issues. The most commonly used is propaganda techniques. This work examined two techniques, Fear mongering and appeal to the name of God in the presidential debate of 2013. It sought to establish how they were used by candidates to validate their desirability to voters. The research was based on the Critical Discourse Analysis theory. The data was collected from statements that fitted in the category of fear mongering and appeal to the name of God. The analysis applied the knowledge of three approaches: qualitative, critical and content analysis. Results showed that there was the use of fear mongering and appeal to the name of God as propaganda techniques in the debate. The techniques were used by candidates for self praise, to malign opponents and to protect themselves from any malignment. They were also used with the intention of scaring voters against voting for certain candidates and positioning themselves as the right candidates. This work is a significant contribution to the study of Discourse Analysis and political communication in universities, colleges and schools. It is also important to the voters who consume the political messages that are normally generated during political campaigns. Another research on the use of other propaganda techniques, and a comparison done to establish the most preferred by candidates and why, is recommended.
  • No Thumbnail Available
    Item
    Ubandikaji Majina na Majumlishi Memeto kama Mikakati ya Propaganda Katika Mdahalo wa Urais wa Kenya 2013
    (2018-12) Wanyama, John K.; Wandera, P. Simwa
    Wanasiasa hutumia mbinu anuai kuelekeza uelewa wa suala la kisiasa; mikakati ya propaganda haswa ndiyo hutumika zaidi katika kampeni za kisiasa miongoni mwa wanadamu wote ulimwenguni. Shida kubwa ni kama jamii ya kistarabu na kibinadamu inaweza kuendelea kuthamini na kushiriki katika propaganda katika shughuli za uteuzi wa uongozi: kwani kwenye propaganda huwa kupiga chuku,uongo, chuki na mambo mengi ambayo ni kinyume na kutangamana kwa wanadamu kama washiriki wenza katika jamii. Kazi hii imetathmini namna mikakati miwili ilitumiwa na wagombea wa kiti cha urais nchini Kenya, mwaka wa 2013, kwa lengo la kushawishi wapiga kura na kujipa umaarufu. Utafiti uliongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Hakiki wa Matini. Data ilikuwa kauli zilizoingiana na mikakati ya propaganda. Uchanganuzi ulizingatia maarifa ya kithamani, ya kimaudhui na kiuhakiki. Matokeo yalionyesha matumizi ya ubandikaji majina na majumlishi memeto. Tekniki hizi zilitumiwa na wagombea kwa lengo la kujijengea sifa njema huku wakilenga kubomoa sifa za wapinzani. Pia zilitumiwa kwa dhamira ya kuuza sera za vyama vyao huku wakidhamiria kudhalilisha sera za wapinzani. Kazi hii ni mchango adimu kwa taaluma ya uchanganuzi matini na mawasiliano ya kisiasa. Aidha ni ya manufaa kwa wanafunzi wa uchanganuzi matini, sayansi ya siasa na mawasiliano. Tafiti zaidi zinaweza kufanywa kuhusu mbinu nyingine kama vile balagha, na pia kuzingatia nadharia zingine tofauti zinazohusu uchanganuzi wa matini.
  • No Thumbnail Available
    Item
    Uyahe na Raghba ya Jinsia kama Mikakati ya Propaganda Uchunguzi Kifani wa Mdahalo wa Urais wa Kenya, 2013
    (2022) Wanyama, John K.
    Lengo la kazi hii ni kutathmini matumizi ya uyakhe na raghba ya jinsia kama mikakati ya propaganda katika mdahalo wa urais wa 2013. Wanasiasa hutumia mbinu anuwai kuelekeza uelewa wa suala la kisiasa. Mara nyingi, mbinu hizi huishia kuwachanganya wapiga kura kiasi cha kuwafanya kuchagua watu wasiofaa. Mikakati ya propaganda ndiyo hutumika zaidi katika kampeni za kisiasa. Kazi hii imechunguza namna mikakati miwili ya uyahe na raghba ya jinsia ilivyotumiwa na wagombea kwa lengo la kushawishi wapiga kura na kujipa umaarufu. Utafiti uliongozwa za nadharia ya Uchanganuzi Hakiki wa Usemi na ya Uamilifu. Data ilikuwa kauli zilizoingiana na mikakati ya uyahe na raghba ya jinsia. Uchanganuzi ulizingatia maarifa ya kithamano, ya kimaudhui na kiuhakiki. Matokeo yalionyesha kuwepo matumizi ya mkakati wa uyakhe na wa raghba ya jinsia katika mdahalo wa urais wa mwaka wa 2013. Mikakati hii ilitumiwa na wagombea kwa lengo la kujijengea sifa njema huku wakilenga kubomoa sifa za wapinzani. Pia ilitumiwa kwa dhamira ya kuuza sera za vyama vyao huku wakidhamiria kudhalilisha sera za wapinzani. Kazi hii ni mchango muhimu kwa taaluma ya uchanganuzi usemi na mawasiliano ya kisiasa. Ina manufaa kwa wanafunzi wa uchanganuzi usemi, sayansi ya siasa na mawasiliano. Politicians use various communication styles to direct and determine how voters understand their political messages. Often, these communication styles end up blurring the voters understanding of the issues to the extent that they end up electing undeserving people. Of the many styles available, propaganda techniques are the most used in political campaigns. This study analyses how two propaganda techniques; plain folk and appeal to gender were used by candidates in the 2013 Kenyan presidential debate to both woo voters and establish their preferability. Two theories guided the research; the Critical Discourse Analysis theory and the Functional theory. Data was words and statements that fall in the categories of plain folk and appeal to gender techniques. Critical, content and qualitative approaches were used to do the analysis. Results showed that the two techniques used by candidates, on one hand built their supposedly good leadership qualities, and on the other, destroyed qualities of their opponents. The candidates also used the two techniques to sell their policies and those of their parties while belittling those of the opposing parties as well as their opponents. This work is valuable to the study of discourse analysis and political communication. It forms a good reference for students of discourse analysis, political science and communication. Further research can be undertaken to establish the use of other styles like rhetoric under a different theory.

University of Embu | Library Website | MyLOFT | Chat with Us

© University of Embu Digital Repository. All Rights Reserved.