Show simple item record

dc.contributor.authorKinoti, Timothy M.
dc.date.accessioned2021-06-18T06:48:18Z
dc.date.available2021-06-18T06:48:18Z
dc.date.issued2021-06
dc.identifier.citationEast African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature Volume-4 Issue-6en_US
dc.identifier.issn2617-7250
dc.identifier.urihttp://repository.embuni.ac.ke/handle/embuni/3803
dc.description.abstractMakala hii inajadili dhima ya lugha za kiasili, ikiwemo ya Kiswahili, katika kuafikia maendeleo endelevu barani Afrika. Kimsingi, asilimia kubwa ya wenyeji wa bara hili huishi katika maeneo ya mashambani na huzitumia lugha za kiasili katika mawasiliano ya kila siku. Kati ya sekta muhimu zinazoathiriwa na matumizi ya lugha ni pamoja na elimu, habari na mawasiliano, burudani, dini, uandishi na uchapishaji, utunzaji na uhifadhi wa mazingira, afya, kilimo na biashara. Aidha, upatikanaji wa maendeleo endelevu utategemea kwa kiasi kikubwa iwapo wananchi watashirikishwa katika aina mbalimbali za utafiti na matokeo yake kuwasilishwa kwa lugha wanayoielewa ili waweze kuyatekeleza. Makala hii inachukulia kuwa lugha inayo dhima kuu katika utekelezaji wa huduma na shughuli mbalimbali za kitaaluma.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.subjectlugha za kiasilien_US
dc.subjectmaendeleo endelevuen_US
dc.subjectmawasilianoen_US
dc.titleMchango wa Lugha za Kiasili katika Uafikiaji wa Maendeleo Endelevuen_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record