Search
Now showing items 1-5 of 5
Upambanuzi wa Miundo ya Toponemia katika Jamii: Mfano kutoka Jimbo Dogo la Maara nchini Kenya
(2022)
Makala hii imewasilisha uchunguzi uliofanywa kuhusu michakato na mbinu
zilizotumika katika uundaji wa toponemia katika jamii. Lengo mahsusi la utafiti huu
lilikuwa kupambanua miundo ya toponemia katika eneo la Mwimbi na ...
Uyahe na Raghba ya Jinsia kama Mikakati ya Propaganda Uchunguzi Kifani wa Mdahalo wa Urais wa Kenya, 2013
(2022)
Lengo la kazi hii ni kutathmini matumizi ya uyakhe na raghba ya jinsia kama mikakati ya
propaganda katika mdahalo wa urais wa 2013. Wanasiasa hutumia mbinu anuwai kuelekeza
uelewa wa suala la kisiasa. Mara nyingi, mbinu ...
Ubadili Maana katika Leksia za Kîîtharaka: Mtazamo wa Kifonolojia na Kimofolojia
(2022)
Makala haya yanalenga kubainisha jinsi ubadili katika vitamkwa na mofu
unavyoathiri maana ya leksia katika Kîîtharaka. Maana katika leksia
hutegemea kipengele cha kiisimu na vile vile kile cha kijamii ili ieleweke
vilivyo. ...
Uhusiano wa Kifahiwa katika Leksia za Kîîtharaka: Mtazamo wa Leksika Pragmatiki
(2022)
Makala haya yanalenga kubainisha jinsi fahiwa zinavyohusiana katika leksia
za Kîîtharaka kwa kuzingatia mtazamo wa leksika pragmatiki.Ubadili maana
katika leksia mbalimbali husababisha kutokea uhusiano wa kifahiwa ...
Ubainishaji wa vigezo vya Utoaji Wa Toponemia katika Jamii: Mfano kutoka Jimbo Dogo la Maara nchini Kenya
(2022)
Utafiti huu wa kionomastiki ulilenga kuchanganua vigezo vya utoaji wa
toponemia za shule za msingi katika jamii. Utafiti ulifanyika katika eneo la Mwimbi na
Muthambi, jimboni dogo la Maara kwenye Kaunti ya Tharaka-Nithi, ...