Browsing Articles: Department of Humanities by Issue Date
Now showing items 21-30 of 30
-
The Librarian Journal
(Higher Education Books LAXMI PUBLICATIONS, 2021-01-25) -
Challenges Facing Corporate Communication in Public Universities in Kenya
(iosrjournals, 2021-03)In the management world today, it’s widely accepted that the future of any organization critically depends on how it is viewed by key stakeholders. Several research studies have shown that corporate communication ... -
Researchers’ Perceptions of Research Data Management Activities at an Academic Library in a Developing Country
(2021-12)This study investigated researchers’ perceptions of RDM activities at the Mahatma Gandhi Graduate Research Library (MGGL) to recommend measures to enhance managing, sharing, and reusing research data. The study was ... -
Upambanuzi wa Miundo ya Toponemia katika Jamii: Mfano kutoka Jimbo Dogo la Maara nchini Kenya
(2022)Makala hii imewasilisha uchunguzi uliofanywa kuhusu michakato na mbinu zilizotumika katika uundaji wa toponemia katika jamii. Lengo mahsusi la utafiti huu lilikuwa kupambanua miundo ya toponemia katika eneo la Mwimbi na ... -
Uyahe na Raghba ya Jinsia kama Mikakati ya Propaganda Uchunguzi Kifani wa Mdahalo wa Urais wa Kenya, 2013
(2022)Lengo la kazi hii ni kutathmini matumizi ya uyakhe na raghba ya jinsia kama mikakati ya propaganda katika mdahalo wa urais wa 2013. Wanasiasa hutumia mbinu anuwai kuelekeza uelewa wa suala la kisiasa. Mara nyingi, mbinu ... -
Ubadili Maana katika Leksia za Kîîtharaka: Mtazamo wa Kifonolojia na Kimofolojia
(2022)Makala haya yanalenga kubainisha jinsi ubadili katika vitamkwa na mofu unavyoathiri maana ya leksia katika Kîîtharaka. Maana katika leksia hutegemea kipengele cha kiisimu na vile vile kile cha kijamii ili ieleweke vilivyo. ... -
Uhusiano wa Kifahiwa katika Leksia za Kîîtharaka: Mtazamo wa Leksika Pragmatiki
(2022)Makala haya yanalenga kubainisha jinsi fahiwa zinavyohusiana katika leksia za Kîîtharaka kwa kuzingatia mtazamo wa leksika pragmatiki.Ubadili maana katika leksia mbalimbali husababisha kutokea uhusiano wa kifahiwa ... -
Ubainishaji wa vigezo vya Utoaji Wa Toponemia katika Jamii: Mfano kutoka Jimbo Dogo la Maara nchini Kenya
(2022)Utafiti huu wa kionomastiki ulilenga kuchanganua vigezo vya utoaji wa toponemia za shule za msingi katika jamii. Utafiti ulifanyika katika eneo la Mwimbi na Muthambi, jimboni dogo la Maara kwenye Kaunti ya Tharaka-Nithi, ... -
Discursive metaphorical representation of COVID-19 pandemic in Kenya’s newspaper headlines.
(UoEm, 2023-10-16)This study aimed to address the dearth of knowledge regarding the portrayal of the COVID-19 pandemic in Kenyan print media, focusing specifically on newspaper headlines. Employing Van Dijk’s Critical Discourse Analysis ... -
Parental Involvement Influence on Education Participation for Learners with Hearing Impairments in Special Public Primary Schools in Meru and Isiolo Counties- Kenya
(UoEm, 2024-05)Globally need for education, as a measure of one's ability to function fully in today's society, is an important motivator for efforts to achieve the highest level of education in the world. The persistent under achievement ...