Kinoti, Timothy M. (Chuka University, 2015-04)
Utafiti huu ulishughulikia usawiri wa mwanasiasa wa Afrika katika ushairi wa
Kiswahili. Kimsingi, mtafiti alichunguza jinsi washairi mbalimbali walivyowasawiri
wanasiasa wa Afrika kiubunifu kwa lengo la kudhihirisha ...