Show simple item record

dc.contributor.authorWanyama, John K.
dc.contributor.authorWandera, P. Simwa
dc.date.accessioned2022-10-27T06:11:20Z
dc.date.available2022-10-27T06:11:20Z
dc.date.issued2018-12
dc.identifier.citationJournal of Contemporary Research in Humanities & Social Sciences Vol 4en_US
dc.identifier.issn22257144
dc.identifier.urihttp://repository.embuni.ac.ke/handle/123456789/4158
dc.description.abstractWanasiasa hutumia mbinu anuai kuelekeza uelewa wa suala la kisiasa; mikakati ya propaganda haswa ndiyo hutumika zaidi katika kampeni za kisiasa miongoni mwa wanadamu wote ulimwenguni. Shida kubwa ni kama jamii ya kistarabu na kibinadamu inaweza kuendelea kuthamini na kushiriki katika propaganda katika shughuli za uteuzi wa uongozi: kwani kwenye propaganda huwa kupiga chuku,uongo, chuki na mambo mengi ambayo ni kinyume na kutangamana kwa wanadamu kama washiriki wenza katika jamii. Kazi hii imetathmini namna mikakati miwili ilitumiwa na wagombea wa kiti cha urais nchini Kenya, mwaka wa 2013, kwa lengo la kushawishi wapiga kura na kujipa umaarufu. Utafiti uliongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Hakiki wa Matini. Data ilikuwa kauli zilizoingiana na mikakati ya propaganda. Uchanganuzi ulizingatia maarifa ya kithamani, ya kimaudhui na kiuhakiki. Matokeo yalionyesha matumizi ya ubandikaji majina na majumlishi memeto. Tekniki hizi zilitumiwa na wagombea kwa lengo la kujijengea sifa njema huku wakilenga kubomoa sifa za wapinzani. Pia zilitumiwa kwa dhamira ya kuuza sera za vyama vyao huku wakidhamiria kudhalilisha sera za wapinzani. Kazi hii ni mchango adimu kwa taaluma ya uchanganuzi matini na mawasiliano ya kisiasa. Aidha ni ya manufaa kwa wanafunzi wa uchanganuzi matini, sayansi ya siasa na mawasiliano. Tafiti zaidi zinaweza kufanywa kuhusu mbinu nyingine kama vile balagha, na pia kuzingatia nadharia zingine tofauti zinazohusu uchanganuzi wa matini.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.subjectPropagandaen_US
dc.subjectubandikaji majinaen_US
dc.subjectmajumlishi memetoen_US
dc.subjectbalaghaen_US
dc.subjectUchanfanuzi hakiki wa Matinien_US
dc.subjectmaarifa ya kithamanien_US
dc.subjectmaarifa ya kimaudhuien_US
dc.subjectmaarifa ya kiuhakikien_US
dc.titleUbandikaji Majina na Majumlishi Memeto kama Mikakati ya Propaganda Katika Mdahalo wa Urais wa Kenya 2013en_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record